AY & Joe makini katika tamasha la Coca-Cola Open Happiness Coco Beach - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 19 July 2011

AY & Joe makini katika tamasha la Coca-Cola Open Happiness Coco Beach

Mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya AY akipagawisha washabiki wa muziki wakati wa tamasha la Coca-Cola Open Happiness liliofanyika Coco Beach jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili na kuvuta hisia ya mamia ya wapenzi wa muziki kutoka sehemu mbali mbali jijini. Mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya Joe Makini akipagawisha washabiki wa muziki wakati wa tamasha la Coca-Cola Open Happiness liliofanyika Coco Beach jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili na kuvuta hisia ya mamia ya wapenzi wa muziki kutoka sehemu mbali mbali jijini.
 
 
picha na: fullshangwe blog

No comments:

Post a Comment