MAZISHI : LOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA PATRICK QORRO JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 11 February 2014

demo-image

MAZISHI : LOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA PATRICK QORRO JIJINI DAR ES SALAAM


photo+2
photo+3Mh Lowassa an mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho ka mwili wa marehemu comrade Mbunge  wa zamani wa Karatu comrade Patrick Qorro
1
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.
2
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji
3
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii
photo+1 Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Msataafu na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa wakiondoka eneo la msiba.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *