WAZIRI WA FEDHA DR. WILLIAM MGIMWA ASAINI MKATABA WA MRADI WA MAJI ZAIDI YA DOLA 750 KUTOKA BENKI YA FALME ZA KIARABU (BADEA) JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Jun 2013

WAZIRI WA FEDHA DR. WILLIAM MGIMWA ASAINI MKATABA WA MRADI WA MAJI ZAIDI YA DOLA 750 KUTOKA BENKI YA FALME ZA KIARABU (BADEA) JIJINI DAR ES SALAAM

  Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef  mara baada ya kumalizika  utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akipongeza Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa    utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef.
 Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) wakifuatilia  utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) wakifuatilia  utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef  wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Picha zote na Anna Nkinda-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad