KIONGOZI WA CHADEMA ,AKIPELEKWA KUZIKWA KWAO SOKONI ONE ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Jun 2013

KIONGOZI WA CHADEMA ,AKIPELEKWA KUZIKWA KWAO SOKONI ONE ARUSHA.

 
Picha ya Jeneza la aliekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Sokoni I, Judith William Moshi, aliefariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini Arusha, siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013 na kuairishwa hadi tarehe 30.06.2013. Tutawaletea picha zaidi....

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad