Siasa : Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyopiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Tuesday, 4 November 2025

Siasa : Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyopiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha alama ya wino kwenye kidole mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.









No comments:

Post a Comment