Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA VIJANA KATIKA ELIMU, UJASIRIAMALI NA AJIRA
-
Na. Ramadhani Kissimba na Saidina Msangi, WF, Mwanza.
Serikali imewahakikishia vijana wanaohitimu masomo katika vyuo mbalimbali
nchini kuwa itaendelea kui...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment