Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
KAMISHNA BADRU AWATAKA WATUMISHI KUCHAPA KAZI KWA BIDII KUENZI MIAKA 64 YA
UHURU
-
Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro.
Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdul-Razaq Badru amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kufan...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment