Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina (kulia) wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17,2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni kisiwani humo. (Picha na INEC).
MWENEZI PWANI : HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA
TAIFA LETU
-
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba.
Na Khadija Kalili, Kibaha
KATIBU Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Chama Cha Ma...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment