Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina (kulia) wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17,2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni kisiwani humo. (Picha na INEC).
TANZANIA YAELEZEA UMUHIMU WA USHIRIKIANO NA MCDF KATIKA MAENDELEO YA
MIUNDOMBINU
-
Na Benny Mwaipaja, Doha, Qatar
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania
inahimiza umuhimu wa ushirikiano wake na Mfuko ...
39 minutes ago


No comments:
Post a Comment