Elimu : Waziri Mchengerwa Afungua Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 16 November 2024

Elimu : Waziri Mchengerwa Afungua Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), akizungumza katika kongamano hilo.

Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (kulia) ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), akizungumza katika kongamano hilo.

Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Wawakilishi wa wanafunzi wakiwasilisha maoni yao katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) kufunguliwa rasmi.

Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano kutoka Camfed Tanzania, Anna Sawaki akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Baadhi ya wanafunzi waliotoa burudani katika Kongamano hilo wakipata picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC.

Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC.

Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC.

Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa kwanza kulia) pamoja na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa akikaribishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa kwanza kulia) mara baada ya kuwasili kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). Katikati ni Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa akikaribishwa na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala alipowasili kufungua Kongamano hilo la Elimu Bora.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Taasisi mbalimbali na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wakitoa elimu juu ya shughuli anuai wanazozifanya kama wadau wa elimu nchini Tanzania, pembezoni mwa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linaloendelea.

Mkutano wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) ukiendelea.

No comments:

Post a Comment