Habari : Makamu wa Rais Dkt. Mpango atua Arusha Kushiriki Kongamano la Uhuru wa Dini la Afrika - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

20 Sept 2024

Habari : Makamu wa Rais Dkt. Mpango atua Arusha Kushiriki Kongamano la Uhuru wa Dini la Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro akielekea mkoani Arusha leo tarehe 20 Septemba 2024.

Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kuhitimisha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika litakayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro akielekea mkoani Arusha tarehe 20 Septemba 2024.

Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kuhitimisha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika litakayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024.

No comments:

Post a Comment

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633