RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 26-7-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 26-7-2024.(Picha na Ikulu)
JAMII YAASWA KUWAKUMBUKA WENYE MAHITAJI MAALUM KIPINDI CHA SIKUKUU ZA
MWISHO WA MWAKA.
-
Na WMJJWM-Dar Es Salaam
Jamii imehimizwa kuwakumbuka watu wenye Mahitaji Maalum katika msimu huu wa
Sikukuu kwa kuwapatia zawadi na mahitaji mbalimbali...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment