Riadha : Josephat Joshua, Noela Remi Wang'ara Mbio za Nyika , Viwanja vya Magereza, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Dec 2017

Riadha : Josephat Joshua, Noela Remi Wang'ara Mbio za Nyika , Viwanja vya Magereza, Jijini Arusha

 Noela Remi akimaliza Mbio za Nyika kwa 22:14:32, 'Series II' 2017/2018 zilizofanyika katika viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, tarehe 09:12:2017.

 Josephat Joshua akimaliza Mbio za Nyika kwa 29:13:84, 'Series II' 2017/2018 zilizofanyika katika viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, tarehe 09:12:2017.Post Top Ad