Michezo / Riadha : Wanafunzi Washiriki mbio za Nyika (Series II) 2017 -2018 , Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Dec 2017

Michezo / Riadha : Wanafunzi Washiriki mbio za Nyika (Series II) 2017 -2018 , Jijini Arusha

 Watoto walioshiriki mbio za Nyika kwa Series ya Pili 2017-2018, zilizofanyika katika Viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, 09:12:2017.
 Watoto wkipiga picha kabla ya kushiriki mbio za Nyika kwa Series ya Pili 2017-2018, zilizofanyika katika Viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, 09:12:2017.

Mtoto Calvin Matiya akimaliza Mbio hizo za Nyika kwa ( 07:33:37) , Series ya Pili kwa Mwaka huu ,zilizofanyika katika Viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, leo 09:12:2017.

 Mtoto Glory Patrick kutoka Arusha, akimaliza Mbio hizo za Nyika kwa ( 09:08:37) Series ya Pili kwa Mwaka Huu, zilizofanyika katika Viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, tarehe 09:12:2017.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad