Habari / Tuzo : Waandishi wa Habari za Vijijini Watunukiwa Vyeti vya Kuhitimu Mafunzo na UTPC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Oct 2017

Habari / Tuzo : Waandishi wa Habari za Vijijini Watunukiwa Vyeti vya Kuhitimu Mafunzo na UTPC





Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Vijijini kutoka vilabu mbalimbali vya waandishi wa habari hapa Nchini,wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari hapa Nchini(UTPC),chini ya ufadhili wa SIDA yaliyofanyika leo Mkoani Morogoro.(Habari Picha na Pamela Mollel)







Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Nikson Mkilanya ambae alikuwa mgeni rasmi katika kufunga mafunzo hayo,akisisitiza washiriki wa mafunzo hayo kutumia vyema fursa hiyo waliyoipata katika kuibua changamoto mbalimbali za vijijini.











Mkufunzi wa Mafunzo ya uwandishi wa habari za vijijini Joe Nakajumo akizungumza na baadhi ya wanahabari walioshiri mafunzo hayo leo Mjini Morogoro.







Mshiriki wa mafunzo Edith Karlo kutoka Kigoma PressClub kikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nekson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo oleo.




Mshiriki wa mafunzo Adam Juma kutoka Mtwara Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.










Mshiriki wa mafunzo Pamela Mollel kutoka Arusha Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.



Mshiriki wa mafunzo Agustino Kihombo kutoka Iringa Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.






Mshiriki wa mafunzo Raya Kipingu kutoka Tanga Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.






Mshiriki wa mafunzo Khadija Yussuph kutoka Pemba Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.






Mshiriki wa mafunzo Queen Isack kutoka Kilimanjaro Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.






Mshiriki wa mafunzo Eliza Faustine kutoka Mwanza Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.






Mshiriki wa mafunzo Sunday Bavuga kutoka Njombe Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.







Mshiriki wa mafunzo Ally Hamisi kutoka Zanzibar Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.







Mshiriki wa mafunzo Anita Balingilaki kutoka Simiyu Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.







Mshiriki wa mafunzo Amon Mtega kutoka Ruvuma Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.











Mshiriki wa mafunzo Halima Katala kutoka Morogoro Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.








Mshiriki wa mafunzo Norrah Damian kutoka Dar es saalam Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.








Mshiriki wa mafunzo Alphonce Kabilondo kutoka Geita Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.











Mshiriki wa mafunzo Laudence Semkondya kutoka Mbeya Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.











Mshiriki wa mafunzo Happy Mtweve kutoka Dodoma Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.










Mshiriki wa mafunzo Shija Ferisha kutoka Shinyanga Press Club akikabidhiwa Cheti na Mgeni rasmi Nikson Mkilanya mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad