Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Sept 2017

Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire



Mhifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire Beatrice Ntambi akizungumza na waandishi wa chama cha waandishi mkoani Arusha(APC)waliokwenda kutembelea hifadhi hiyo kwa lengo la kujifunza na kutangaza utalii wa ndani

Sehemu ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini

Mratibu wa Arusha Press Club, Seif Mangwangi akiorodhesha majina ya waandishi wanaoingia katika hifadhi ya Tarangire katika ziara ya mafunzo pamoja na kutangaza utalii wa ndani

Picha ikionyesha fuvu la mnyama aina ya Tembo

Sehemu ya makundi makubwa ya tembo wanaopatikana katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire

Twiga wakionekana vizuri katika hifadhi ya Tarangire

Tembo wakizunguka ndani ya hifadhi ya Tarangire

Katika hifadhi hii utakuta aina ya miti mikubwa ya mibuyu inayosadikika kuishi mamia ama maelfu ya miaka ambayo pia ni kivutio kikubwa katika hifadhi ya Tarangire

Wanahabari wakichukua taswira katika hifadhi ya Tarangire

Wanahabari wakichukua Selfiee kabla ya kuanza safari kuelekea kujionea vivutio ndani ya hifadhi ya Tarangire



Makundi ya Tembo yakiwa katika hifadhi ya Tarangire

Baadhi ya wanachama wa Arusha Press Club wakiwa katika picha ya pamoja katika lango la kuingilia katika hifadhi ya Taifa Tarangire

(Habari Picha na Pamela Mollel,Arusha)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad