Siasa : Sekretarieti ya CCM , Yafanya Mazungumzo na Mjumbe wa Kamati kuu ya chama cha Kikomunisti cha Vietnma, Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Sept 2017

Siasa : Sekretarieti ya CCM , Yafanya Mazungumzo na Mjumbe wa Kamati kuu ya chama cha Kikomunisti cha Vietnma, Mjini Dodoma



Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kinana akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Chau Van Lam alipoasili kwa ajili ya mazungumzo na Sekretarieti ya CCM chini ya Kinana, leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya mji wa Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-zanzibar Jumanne Mabodi. Katikati ni katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.

Kiongozi huyo akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Jumanne Mabodi

Kiongozi huyo akiendelea kusalimia viongzi wa CCM

Kiongozi huyo akiendelea kusalimia viongozi wa CCM

Kiongozi huyo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka

Kiongozi huyo akimsalimia Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi ya CCM

Kinana akimpeleka mgeni wake eneo la kufanyia mazungumzo

Mazungumzo yakianza

Mazungumzo yakiendelea

Mazungumzo yakiendelea

Kinana akitambulisha ujumbe wake kwa mgeni

Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma akizungumza na mwandishi wa Uhuru Fm aliyekuwa akifuatilia mazungumzo hayo



Ujumbe wa CCM kwenye mazungumzo hayo

Chau akimpa zawadi Kinana baada ya mazungumzo hayo

Kinana akimshukuru kwa zawadi mgeni huyo

Chau akimpa zawadi nyinyine Kinana

Chau akimpa zawadi ya Kitabu cha misingi ya Kimunisti cha Veitnam, Kinana

Chau akizawadia Kinana tarumpeta la kisili ya Veitnam

Kabla ya kumkabidhi akaliungurumisha kidogo

Kinana akaipokea zawadi

Kisha Kinana akaonyeshwa kidogo namna ya kuliungurumisha

Kisha akalipuliza kwa uhodari

Kinana akapewa zawadi ya kofia ya asili ya Kivietnam

Akaipokea kwa furaha kofia hiyo

Kisha akaivaa kofia hiyo akiifurahia

Akaendelea kuifurahia kofia hiyo

Kinana akajibu mapigo na yeye kwa kumpa zawadi ya picha maridhawa ya kuchorwa

Chau akaipokea zawadi hiyo kwa furaha

Kinana akimweleza Chau undani wa picha hiyo

Kisha ikapigwa picha ya pamoja

Kinana akaagana na mgeni wake

Kinana akimsindikiza mgeni wake baada ya mazungumzo hayo
Ngemela akizungumza na waandishi kuwajulisha kilichojiri kwenye mazungumzo hayo


ZIFUATAZO NI PICHA ZA MAPOKEZI CHAU ALIPOWASILI DODOMA






































No comments:

Post a Comment

Post Top Ad