Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


18 Sep 2017

Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa afungua Mkutano wa wadau Mahususi wa Korosho Tanzania

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wadau mahususi wa korosho katika hotel ya Tanga Beach mjini Tanga unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza Oktoba 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na HalmashauriWaziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dkt Charles Tizeba akizungumza katika mkutano huo unaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza Oktoba 1 mwaka huu.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Hassani Jarufu akizungumza wakati wa mkutano huounaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ktoba 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na Halmashauri
Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania,Mama Anna Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huounaolenga kutoa muongozo wa ununuzi wa korosho ghafi kwa msimu mpya unaotarajiwa kuanza 0ctober 01, 2017 ambapo mkutano huo ulihusisha wakuu wa mikoa inayolima zao la Korosho,wilaya na HalmashauriWasjhiriki wa mkutano huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha TumboWadau wakifuatilia makrabasha mbalimbali kwenye mkutano huo

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Alhaj Majid Mwanga kushoto akifurahia jambo wakati wa mkutano huo
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete kulia akiteta jambo na baadhi wa washiriki wa mkutano huo leo uliofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort mjini Tanga

Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Mnauye akiteta jambo kabla ya kuanza kikao hicho

Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini (CCM) Hawa Ghasia akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Mlalo (CCM) Rashidi Shangazi wakati wa kikao hicho mapema leo ambao ulifunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akisalimia na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao hicho
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto ,Ummy Mwalimu akisaliana na Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kabla ya kuanza mkutano huo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete


Sehemu wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia matukio mbalimbali


Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akifuatilia kwa umakini mkutano huoBaadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Mathew Mtigumu katikati akimsikiliza kwa umakini Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi wakati wa kikao hicho kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Mazingira,Januari MakambaBaadhi ya washiriki wakiendena na mkutano


Sehemu ya washirki wakifuatilia mkutano huo

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa katika akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo leo

Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Post Top Ad