Matukio : Spika Job Ndugai Atembelewa na Balozi wa Uingereza Nchini ofisini kwake Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Sept 2017

Matukio : Spika Job Ndugai Atembelewa na Balozi wa Uingereza Nchini ofisini kwake Dodoma



Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na kulia ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy, pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa Uingereza uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (watatu kulia).




Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.


Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Uingereza ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad