Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Sept 2017

Afya :Cuba yaipongeza Muhimbili kwa kutoa huduma bora



Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo akizungumza na baadhi ya wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakati akiitembelea leo. Kushoto ni Mratibu wa madaktari wa Cuba nchini, Dk Maylen Lopez. Kutoka kushoto wa tatu ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Muhimbili, Makwaia Makani, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk. Julieth Magandi, ofisa Idara ya ufundi, Mkurugenzi wa Tiba, Dk. Hedwiga Swai, Mkurugenzi Mtendaji, Profesa Lawrence Museru na Mkurugenzi wa Ufundi, Gaudence Aksante.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo. Kulia ni Mkurugenzi wa Ufundi, Gaudence Aksante.

Balozi wa Cuba nchini, Profesa Lucas Domingo Hernandez Polledo akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Profesa Museru kabla ya kutembelea maeneo ya kutoa huduma katika hospitali hiyo.

Balozi wa Cuba na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hiyo wakiwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).

Ujumbe kutoka Ubalozi wa Cuba ukiwa katika chumba cha upasuaji Muhimbili.

Baadhi ya wakurugenzi wa Muhimbili wakiwa katika picha ya pamoja na ubalozi wa Cuba baada ya kuitembelea hospitali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad