Viwanda : Rais Dk. Magufuli Atembelea Viwanda, Jijini Tanga - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 7 August 2017

demo-image

Viwanda : Rais Dk. Magufuli Atembelea Viwanda, Jijini Tanga


jp1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi alipowasili kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipatiwa maelezo ya uzalishaji baada ya kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na uongozi wa kiwanda baada ya kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga  Agosti 6, 2017
jp6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea risala toka kwa uongozi wa kiwanda kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mwijage wakifunua kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mwandishi wa habari wa TBC Bi. Vumilia Mwasha baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa maeneo mbalimbali baada ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea kibanda cha maziwa bada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa maziwa na mtindi kwa wanahabari katika kibanda cha maziwa baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa maziwa na mtindi kwa wanahabari katika kibanda cha maziwa baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017

jp13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimgawaia maziwa na mtindi Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Alhaji Mustapha Selebosi katika kibanda cha maziwa baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017

14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigawa maziwa na mtindi kwa watoto katika kibanda cha maziwa baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga  Agosti 6, 2017
IMGS0761
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wanannchi baada ya kugawa maziwa na mtindi kwa watoto katika kibanda cha maziwa baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakicheza ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp15
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi na wafanyakazi kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp16
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi na wafanyakazi kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga  Agosti 6, 2017
jp17
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea risala kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa GBP Bw. Badar Sood kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp18
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa GBP Bw. Badar Sood kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakikata utepe kwenye sherehe za uzinduzi wa wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akifunua kitambaa kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
JP21
Mama Janeth Magufuli na Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu wakifurahia jambo kwenye sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017



JP23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp24
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
jp25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uzinduzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000 eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *