Siasa : Kinana Awasili Tanga - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Aug 2017

Siasa : Kinana Awasili TangaKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu baada ya kuwasli kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Dk. John Magufuli uliofanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mwanasha Tumbo

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu akisalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu akisalimia wakati wa mkutano huo

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akienda jukwaani kusalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Rais Dk Magufuli

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo

Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akisalimia kwenye mkutano huo

Rais Dk John Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo

mamia ya watu wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo
Mbunge wa Muheza Adadi Rajab akizungumza wakati wa mkutano huo mbele ya Rais Dk Magufuli

Rais Dk Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huoKinana akifuatana na viongozi wa CCm mkoa wa Tanga kumsikiliza Rais Nagufuli alipozungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Pongwe

Kinana na baadhi ya viongozi wa CCM wakimsikiliza Rais Magufuli katika eneo la Pongwe
Rais akizungumza na wananchi katika eneo la Pongwe

Post Top Ad