Matukio : Rais Dk. Magufuli azungumza na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Ulinzi na Usalama, Ikulu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Thursday, 31 August 2017

Matukio : Rais Dk. Magufuli azungumza na Viongozi wastaafu na wa sasa wa Ulinzi na Usalama, Ikulu



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Bw. Cornel Lundu Apson mara baada ya mazungumzo yake na viongozi wastaafu na wa sasa wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 31, 2017


No comments:

Post a Comment