Michezo : Timu ya Everton ya Uingereza Yajinoa Kuikabili Gor Mahia ya Kenya, Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 12 July 2017

demo-image

Michezo : Timu ya Everton ya Uingereza Yajinoa Kuikabili Gor Mahia ya Kenya, Jijini Dar es Salaam

Pix+1
Basi lililobeba wachezaji wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza likiwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.
Pix+2
Baadhi ya viongozi wa wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza wakishuka katika basi la timu hiyo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.
PIX15
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akielekea kufanya mazoezi na wenzie katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
Pix+3
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiingia katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Pix+4
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Pix+5

Pix+6

Pix+7

Pix+8

Pix+9
Makipa wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
PIX11
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akifanya mazoezi na wenzie katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
PIX12

PIX13
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
PIX14

PIX10a
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na Meneja wa Habari wa Timu ya Everton FC wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuf Omar Singo.
PIX10b

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *