Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


18 May 2017

Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za UtaliiMwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akikabidhi zwadi ya Tisheti kwa wageni hao ambao wamekuja kutalii nchini

Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwa katika picha ya pamoja na wasnii kutoka nchini china.
--


Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen, wakishuka kwenye gari ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini China kwa ajili ya kutembelea mbuga za Wanyama hapa nchini na Vivutio vya kitalii.

Msani kutoka nchini China,Yao Di akitoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya ziara maalum katika vivutio mbalimbali nchini

Msani kutoka china akicheza ngoma za Asili na kundi la Sanaa la Wanne Star

Mmoja wa Wasanii kutoka nchini China akifurahi na kundi hilo la Wasaniiwa Wanne Star

Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen wakicheza ngoma kwa pamoja na kikundi cha Sanaa za utamaduni hapa nchini cha Wanne Star

Msani kutoka nchini China,Yao Di akicheza ngoma za asili na kikundi cha Wanne Star

Wasanii hao wakipiga picha na nyoka

Wasanii hao wakipiga picha na nyoka
Wasanii hao wakipiga picha na nyoka

Post Top Ad