Zanzibar : Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Majaliwa Washiriki Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 7 April 2017

Zanzibar : Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Majaliwa Washiriki Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo

Sheikh Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kisomo cha Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo

Wake wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya ​Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamned Shein

Wake wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa wakiwa kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kuwekwa mashada la mauwa na Viongozi mbali mbali kaburini hapo baada ya dua ya khitma iliyosomwa leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo kila ifikapo tr 07 April hufanyika zoezi kama hili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance Salvatori Mabeyo akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar

Kiongozi wa Mabalozi wadogo wa Zanzibar pia Balozi Mdogo wa Msumbiji Jorge Augusto Menezes akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanziba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika Mashariki Augustono Mahiga baada ya uwekaji wa mashada ya mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha khitma iliyosomwa leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa walihudhuria hafla hiyo

No comments:

Post a Comment