Uchumi /Biashara : Rais Dk. Magufuli aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

14 Apr 2017

Uchumi /Biashara : Rais Dk. Magufuli aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard GaugeRais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipowasili Pugu katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro leo Aprili 12, 2017. kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa Ubalozi wa Uturuki nchini alipowasili katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro Aprili 12, 2017.

Wahandisi washauriwa mradi wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa

Wananchi wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa

Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo

Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza kwenye sherehe hizo

Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo

Wadau wa mradi na wageni mbalimbali kwenye sherehe hizo

Wananchi wakiwa kwenye sherehe hizo

Ulinzi kwenye sherehe hizo

Wananchi

Kikozi kazi cha TBC kikirekodi na kurusha mubashara tukio hilo la kihistoria

Wajumbe wa kamati maalumu ya uhandisi wa mradi

Wajumbe wa kamati maalumu ya uhandisi wa mradi wakimpugia Rais baada ya kutambulishwa

Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akiongea

Sehemu ya wadau, mabalozi na waalikwa wengine

Viongozi wa wilaya za Dar es salaam, wadau na waalikwa wengine

Viongozi na wadau wa mradi

Wadau wa mradi

Wadau wa mradi

Viongozi wa Wilaya ya Ilala na wadau wa mradi

Wanahabari, viongozi na wadau wa mradi

Wadau mbalimbali wa mradi

Sehemu ya wafanyakazi wa mradi

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir akiwa pamoja na wadau wa mradi

Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Jenerali James Mwakibolwa akiwa jukwa kuuna viongozi mbalimbali

Rais Dkt Magufuli akimtambulisha mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Bella Bird

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubua Taifa katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikaribishwa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa kwenda kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina ya baadhi ya wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa Ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza. Wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo wakati wa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakipita juu ya mfano wa reli baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya reli baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es alaam hadi mkoani Morogoro .

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakifurahia jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania baada ya kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gauge kutoka jijini Dar es laam hadi mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

Post Top Ad