Muziki / UK : Uzinduzi wa WASATU Leo Uingereza kwa Muziki - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 1 April 2017

Muziki / UK : Uzinduzi wa WASATU Leo Uingereza kwa Muziki





Na Freddy Macha



Jumuiya ya Wasanii wa Tanzania Uingereza (WASATU) leo inazinduka kwa onesho la muziki Northampton.
Onesho hilo litajumuisha wanamuziki wakongwe wa Kitanzania wakiwemo Saidi Kanda ( na bendi Mvula Mandondo), mwimbaji sauti chiriku Fab Moses na bendi ya Afrika Jambo ikihusisha mpiga sax RamaSax. Ramasax aliwahi kupuliza “madude” na Simba wa Nyika. Mwingine ni mpiga gitaa Kawele Mutimanwa aliyeshiriki wimbo maarufu wa Mambo Bado na bendi ya Makassy miaka ya 80. Wengine ni pia wanamuziki walemavu kama mpiga gitaa John Londo, Kea nk...

Mwenyekiti wa WASATU, Bi Neema Kitilya , mcheza dansi, Khadija ( Kibisa zamani) wasanii wengine wameeelezea mori wao kutangaza na kujumuiha wasanii wetu duniani.
TUTAWALETEA HABARI ZAIDI INSHALLAH MUNGU AKIPENDA

Tuko pamoja!

Tanzania oyeee !!!

No comments:

Post a Comment