Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Apr 2017

Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga KimataifaLeo tarehe 24 April ndio siku ya kuzaliwa mwalimu wa dojo na yoga wa kimataifa Sensei Rumadha Fundi mwenye makao yake nchini marekeni,gwiji huyu mwafrika anayetambuliwa na baraza la mchezo huo la dunia lenye makao yake kule Okinawa,Japani. Sensei Rumadha Fundi ni mwalimu wa sanaa za mapambano Karate "OkinawaGoju Ryu Jundokan Kyokai" kwa takribani miaka 35 ambaye alipata mafunzo ya juu ya mchezo huo kule Okinawa ,Japan. Pia ni mkufunzi guru wa Yoga ambaye amepata shahada za juu nchini India mwazoni mwa miaka ya 1980s watanzania tuna kila sababu ya kujivunia mtaalam wetu huyu wa kimataifa Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi kutoka uswahili kariakoo hadi kimataifa.

Post Top Ad