Michezo : Simba SC Yaibamiza Mbao FC kwa Bao 3 - 2 , Jijini Mwanza - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Apr 2017

Michezo : Simba SC Yaibamiza Mbao FC kwa Bao 3 - 2 , Jijini Mwanza

Simba Sports Club Imedhirisha Unyama wake kwa Kumfunga Timu ya Mbao Fc kwa Bao Tatu kwa mbili (3 -2) Mchezo uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Mabao ya Simba yalitiwa kimiani na Blagon ("82 , "90+1), huku msumari wa mwisho kwenye Mbao kugongelewa na Mzamiru "90+7).

Mabao Mawili ya Mbao yalifungwa na Sangija "18 na Bernard "33 kipindi cha Kwanza.

Post Top Ad