Matukio : Raha za Pwani Yafanyika DMV - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 1 April 2017

Matukio : Raha za Pwani Yafanyika DMV



Bi. Grace Mgaza Sebo akiongoza mchezo wa bahati nasibu iliyofanyika leo Ijuamaa kwenye tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika katika hoteli ya Hampton Inn College Park, Maryland na kuhudhuriwa na wadau wa miziki hiyo wakiongozwa na Dj Moe. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.


Mtoto Aaliyah akichanganya tiketi za bahati nasibu kusudi ya kutangazwa mshindi.

Mtoto Allan akijiandaa kumtangaza mshindi wa kwanza aliyeamka na bahati usiku huo wa Raha za Pwani.


Rose Millinga (kushoto) akiibuka mshindi wa kwanza akikumbatiana na Bi. Grace Mgaza Sebo moja ya waandaji wa tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika siku ya Ijumaa March 31, 2017 katika hotel ya Hampton Inn College Park, Maryland nchini Marekani.


Rose Millinga akiwa na zawadi yake katika picha ya pamoja na waandaji wa tamasha la Raha za Pwani kushoto ni Bi. Grace Mgaza Sebo na kulia ni Steven Mgaza. Wapili toka kushoto ni mtoto Aaliyah.

Mratibu wa Raha za Pawani Bw. Steven Mgaza akimpongeza mshindi wa kwacomahati nasibu Rose Millinga.


Bw. Steven Mgaza akimpongeza mshindi wa pili wa bahati nasibu Bw. Kofi Adwin Adisa X ambaye ni mpiga kinanda anayependa nyimbo za kiafrika.































No comments:

Post a Comment