Matukio : Makatibu Wakuu , Mabalozi na Kamishna wa TRA Waapishwa. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Apr 2017

Matukio : Makatibu Wakuu , Mabalozi na Kamishna wa TRA Waapishwa.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbu kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Profesa Kitila Alexander Mkumbu kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Profesa Kitila Alexander Mkumbu kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017 -Rais akimkabidhi nyezo za kazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017 -Rais akimkabidhi nyezo za kazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.


Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na waapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad