Maisha : Taasisi za AYT, TYVA na Mtandao wa Asasi za Vijana Wajadili Masuala ya Vijana na Bajeti. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 9 April 2017

demo-image

Maisha : Taasisi za AYT, TYVA na Mtandao wa Asasi za Vijana Wajadili Masuala ya Vijana na Bajeti.


DSC_0378

DSC_0374

Meneja Miradi wa Tamasha la Vijana, Churchill Shakim akiongoza mjadala wa kuichambua agenda ya vijana kuhusu bajeti kwenye nyanja mbalimbali ili serikali kuweza kufanikisha malengo hayo kwa vijana. (Picha zote na Geofrey Adroph)
DSC_0302
Mkurugenzi mtendaji wa Africa Youth Trust(AYT), Nahashon Gulali akizungumza na vijana waliokutana kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu bajeti hasa kwenye vipaumbele vya vijana kwenye bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma.
DSC_0337
Katibu Mtendaji wa TYVA na mratibu wa mtandao wa asasi za Vijana Tanzania, Ndugu Saddam Khalfan akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa wakati wa kujadali na kufanyia uchambuzi bajeti hasa kwa kwenye mfuko wa vijana kwa mwaka 2017/18 uliofanyika katika ukumbi wa Wanyama jijini Dar es Salaam.DSC_0325
Msimamizi wa Mradi kutoka AYT akiwasilisha kuhusu umuhimu wa vijana katika mpango wa bajeti ili kuweza kuinuka kiuchumi pamoja na kutolea ufafanuzi kuhusu taasisi ya AYT pamoja namradi wa Youth Action for Development effectiveness(YADE) kwa vijana waliokutana ili kujadili vipaumbele vya vijana kwenye bajeti ya mwaka 2017/18 kwenye mkutano uliofanyika katika hoteli ya Wanyama jijini Dar.DSC_0380

DSC_0383

DSC_0402
Baadhi ya vijana wakichangia mada wakati wa kuichambua agenda ya vijana iliyoandaliwa kuhusu mikakati ya bajeti kwa vijana kwenye mkutano uliowakutanisha vijana kujadili na kubadilishana mawazo kuhusu bajeti hasa kwenye vipaumbele vya vijana
DSC_0436

DSC_0450

DSC_0469
Baadhi ya magroup ya vijana wakijadiliana kuhusu changamoto pamoja nakuja suluhisho kwenye masuala ya msingi ya vijana hasa kuwezeshwa kiuchumi kupitia bajeti ya mwaka 2017/18.
DSC_0312
Mkutano ukiendelea

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *