WATANZANIA wamepata nafasi ya kuwakilisha Afrika Mashariki katika uwanja wa mpira wa Anfield unaotumiwa na Liverpool baada ya timu iliyokuwa inawakilisha ya Azania Group kutwaa ubingwa wa Standard Chartered 2017. Katika michuano hiyo iliyohusisha klabu zilizoingia fainali kutoka Tanzania, Kenya na Uganda mwakilishi wa timu ya Liverpool mchezaji Gwiji John Barnes na mabalozi wa Uingereza, Uganda na Kenya, Azania ilionesha kandanda safi . Azania imepata nafasi ya kutwaa kombe hilo katika Mashindano hayo ambayo yanajulikana kama ‘Standard Chartered-Road to Anfield Tournament’ kwa tofauti ya magoli katika kipute ilichokipiga na Capital FM katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam jana.

No comments:
Post a Comment