Matukio /Elimu : Jaji Warioba Azindua Kitabu cha Kiongozi Mwanamke - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Mar 2017

Matukio /Elimu : Jaji Warioba Azindua Kitabu cha Kiongozi MwanamkeWaziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba akionesha kitabu juu mara baada ya kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.

Aisha Bdel na Liliani Lihundi wakifurahi mara baada ya Jaji wa Rioba kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi

Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na Wanawake waliofika katika kongamano la Wanawake na Wasichana juu ya uongozi ndani ya Tanzania na kuzindua kitabu kinachohusu Mwanamke

Dkt Mwele Malecela akizungumza juu ya mambo aliyojifunza wakati anagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi na kuwataka wazazi kuwa ndio waangalizi na kuwatoa hofu wasichana pindi wanapohitaji kujaribu jambo lolote lenye manufaa kwa Jamii

Muendesha Mjadala Liliani Lihundi akizungumza wakati wa kongamano hilo ambalo lilihusisha wasichana na wanawake

Mbunge Viti Maaalum Chadema , Susan Lymo akichangia jambo juu ya uozefu wake kama mwanamke katika Bunge la Jamhuri wa muungano

Waziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akiwa na Mama Anna Abdalah wakiwasalimia wanafunzi wasichana wa chuo kiku cha Dar es Salaam ambao walifika katika kongamano hilo

Baadhi ya washiriki waliokaa Safu ya mbele katika kongamno hilo

Post Top Ad