Matukio :Waziri Nape afunga Mkutano Mkuu wa Waandishi wa habari za Mitandao Tanzania Bloggers Network' (TBN) - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

7 Dec 2016

Matukio :Waziri Nape afunga Mkutano Mkuu wa Waandishi wa habari za Mitandao Tanzania Bloggers Network' (TBN)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa Ufafanuzi wakati alipokuwa akieleza namna ya kuitambua mitandao ya Kijamii pamoja na uanzishaji wa Tuzo kwa Waendeshaji mitandao hiyo.
Waziri Nape alisema kuwa lengo la tuzo hizo ni kuzisaidia blogs za Tanzania kubobea katika nyanja tofauti ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, hifadhi ya jamii kwa nia ya kuipa heshima tasnia ya habari nchini.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa Ufafanuzi wakati alipokuwa akieleza namna ya kuitambua mitandao ya Kijamii pamoja na uanzishaji wa Tuzo kwa Waendeshaji mitandao hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Adam Mayingu akiongea wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipata Selfie na bloggers baada ya kufunga mkutano wao

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akibadilishana mawazona na baadhi ya bloggers baada ya kufunga mkutano wao

Ankal akipata Selfie na bloggers wnzie baada ya Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.

Selfie baada ya kufungwa kwa Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na semina ya wanachama wa umoja wa waendeshaji wa blog nchini.

Mjumbe wa TBN kutoka Zanzibar Othman Maulidi aka Othman Mapara akichangia

Ankal akiwa na bloggers toka Mbeya

Baadhi ya Wadau wakiendelea kusikiliza yaliyokuwa yakiendelea ukumbini humo.
Baadhi ya Waendeshaji wa mitandao hiyo wakiwa kwenye mkutano wao wa Mwaka wakifuatilia yaliyokuwa yanaendelea

Post Top Ad