Kimataifa :Harambee for deceased Brother Leo Mapunda Mwakitalu in Columbus, Ohio, a huge success - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 13 December 2016

Kimataifa :Harambee for deceased Brother Leo Mapunda Mwakitalu in Columbus, Ohio, a huge success



WaTanzania Columbus, Ohio na vitongoji wakijumuika pamoja siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016 kwenye harambee ya mpendwa wao Leo iliyofanyka Columbus Ohio kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi. Leo alifariki Desemba 3, 2016 Florida nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
WaTanzania wa Columbus, Ohio wakiendelea na zoezi la harambee ya kujaribu kuchangisha fedha kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wao Leo na gharama zingine siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016.

Mwongozaji wa harambee hiyo akisisitiza jambo.

WaTanzania na marafiki wa Leo wakiendelea kuchangia kwenye harambee ya mpendwa wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016

Harambee ikiendelea
WaTanzania wa Columbus, Ohio wakijumuika pamoja kwenye harambee ya mpendwa wao Leo iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016

Harambee ikiendelea siku ya Jumamosi Desemba 10, 2016

WaTanzania waliohudhuria harambee hiyo