Burudani : Tamasha la WCB, Dar na Iringa - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

28 Dec 2016

Burudani : Tamasha la WCB, Dar na IringaSehemu ya umati ya wakazi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..

Msanii kutoka WCB, Harmonize akitumbuiza katika”Nogesha Upendo”lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..

Msanii wa kimataifa Diamond Platinumz akitumbuiza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..

Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

Wasanii wa muziki wa kundi la Navy Kenzo wakiwapagawisha mashabiki wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

Wacheza shoo wa WCB wakifanya mambo yao wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo”lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

Post Top Ad