Matukio : Lema Arudishwa Mahabusu - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Nov 2016

Matukio : Lema Arudishwa Mahabusu

 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akilindwa na Askari kwa ukaribu zaidi huku akielekea kupanda gari la magereza tayari kwa kurudishwa mahabusu ya magereza iliopo Kisongo, jijini Arusha.
 Lema aliyevaa suti nyeusi akiwa anapanda ndani ya gari la Magereza.
Picha na Woinde Shizza.

Post Top Ad