Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki matukio mbalimbali wakati wa ratiba ya kutoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Jenerali David Bugozi Musuguri (mkuu wa majeshi mstaafu), shughuli iliyofanyika Kambi ya Jeshi Lugalo, jijini Dar Es Salaam, na kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Isdory Mpango, leo Ijumaa, 1 Novemba, 2024.
NACHINGWEA WATOA ZAIDI YA MILIONI 800 MIKOPO YA ASILIMIA 10 ZA MAPATO YA
NDANI
-
*Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akimkabidhi funguo ya
Trekta katibu wa kikundi cha wanawake Khadija Said Ng'ombo walilopewa na
Halmashau...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment