Maisha : Vijana Wajasiriamali wachangamkia fursa ya kutngeneza Shanga - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Nov 2016

Maisha : Vijana Wajasiriamali wachangamkia fursa ya kutngeneza Shanga

Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki yanayoendelea kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog.
Vijana wakichangamkia bidhaa kuanza kutengeza Shanga.
Vijana wakichangamkia bidhaa kuanza kutengeza Shanga.
Mkufunzi akitoa maelekezo ya mchezo huo....

Post Top Ad