Afya : Dk. Shein Azindua wodi mpya ya watoto na Kinamama - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Nov 2016

Afya : Dk. Shein Azindua wodi mpya ya watoto na Kinamama


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mwakilishi wa Ubalozi wa Norwaya Bw. Victor Mlundo wakati wa kuzindua majengo mapya ya Wodi ya Watoto Kinamama katika Hospitali ya Mnazi mmjoja uliofanyika leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha kulelea Watoto wachanga wakati alipotembelea majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya uzinduzi rasmi leo,(wa pili kulia) mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend Bw.Eivend Hansen wakikata utepe kuzindua jengo la Wodi ya Watoto wakati wa uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto uliofanyika leo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizari ya Afya Nd,Halima Maulid mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika uzinduzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakipata maelezo wakati walipotembelea moja ya Chumba cha Xray katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambayo yamejengwa kwa ufadhili kuoka Nchini, Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Vitanda vya kisasa vilivyomo katika moja ya Wodi ya Kinamama katika majengo mapya zikiwemo na wodi za Watoto yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ambapo yamejengwa kwa ufadhili kutoka nchini Norway,Uholanzi na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Muuguzi katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto Jogha Abdalla Ali wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambapo yamejengwa kwa ufadhili wa Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha (kulia) katika sherehe ya ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizofanyika leo,majengo hayo yaliyojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Uholanzi na Norway,(kushoto) Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend Bw.Eivend Hansen.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha (kulias) katika sherehe ya ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Bw.Trond Mohn kutoka Nchini Norway ambaye kati ya wadhili waliotoa fedha kwa Ujenzi majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto ambayo yamefunguliwa leo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja majengo hayo yamejengwa kwa ufadhili kutoka Nchini Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo.
Madaktari kutoka Nchi mbali mbali wanaotoa huduma kwa wananchi wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya Ufunguzi wa Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo.
baadhi ya Wafanyakazi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya Ufunguzi wa Majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo,yaliyojenga kwa ufadhili kutoka Nchini Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi katika ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi ya Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja ambayo yamefadhiliwa na Uholanzi na Norway sherehe za ufunguzi zimefanyika leo. Picha na Ikulu,Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad