Matukio : Mama Janeth Magufuli ahudhuria Mazishi ya Shemejie JK - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


11 Oct 2016

Matukio : Mama Janeth Magufuli ahudhuria Mazishi ya Shemejie JK


 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Bw. Mohamed Kikwete  alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo   Oktoba 10, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Hemed Mwanga, 
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni  mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie  (Rais Mstaafu)   Marehemu Mariam Ramadhani Saburi   aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji akifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni  mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie  (Rais Mstaafu)   Marehemu Mariam Ramadhani Saburi   aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni  mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu)   Marehemu Mariam Ramadhani Saburi   aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na  Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete (kulia) akimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu)  Marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016
Mawaidha yakitolewa msibani
Bw. Yusuph Kikwete akielekeza waombolezaji sehemu ya kukaa wakati wa msiba huo
 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete alipowasili kwenye  msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo.
 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye  msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiongea jambo na  Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu)  Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine  kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine  kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo
 Sehemu ya waombolezaji   kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine wakibeba mwili wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
Waombolezaji wakimswalia maiti 
waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa  marehemu Mariam Ramadhani Saburi  kuelekeza makaburini huko Bagamoyo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwafariji watoto wa  shemejie Rais Mstaafu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Marehemu Mariam Ramadhani Saburi,    aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo Oktoba 10, 2016
Sehemu ya waombolezaji msibani
Waombolezaji wakijiandaa kupata chakula cha mchana kabla ya maziko.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad