Kiongozi mkuu wa kanisa la Ukombozi ,Nabii B.G Malisa akizungumza
na waandishi wa habari mara baada tu ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo atakuwa na mkutano wa
maombezi wa siku 8 katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Nabii B.G Malisa akitia sahihi katika kitabu cha wageni ndani ya
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) mara baada ya kuwasili
akitokea jijini Dar es salaam ambapo atakuwa na mkutano wa maombezi wa
siku 8 katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Nabii B.G Malisa akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo
atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8 jijini Arusha katika viwanja
vya reli.
Nabii B.G Malisa akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo
atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8 jijini Arusha katika viwanja
vya reli.
Umati wa wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika katika uwanja wa
ndege wa kimatifa wa Kilimanjaro(KIA) kumpokea Nabii B.G Malisa ambaye
atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8 katika viwanja vya reli jijini
Arusha.
Nabii B.G Malisa akiwa nje ya chumba cha mapokezi ya wageni
mashuhuri(VIP) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro
(KIA)mara baada ya kuwasili leo mkoani Arusha,pembeni yake kushoto ni
mchungaji wa kanisa la Ukombozi tawi la Arusha ,Mwana wa Nabii mchungaji
Ushindi na mkewe Grace Ushindi wa tatu kutoka kulia waliosimama.(picha
na Moses Mashalla)
No comments:
Post a Comment