Matukio : Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Sep 2016

Matukio : Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba (kushoto) ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Post Top Ad