Maisha : Mkurugenzi Mtendaji wa mpya wa TACAIDS ajitambulisha kwa wadau wa Ukimwi ,Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Sep 2016

Maisha : Mkurugenzi Mtendaji wa mpya wa TACAIDS ajitambulisha kwa wadau wa Ukimwi ,Jijini Dar es Salaam


 Mkurugenzi Mtendaji wa Tacaids, Dk. Leonard Maboko.
 Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano wa kufahamiana uliofanyika Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Tacaids), Elizabeth Kaganda na Mkurugenzi wa Ufatiliaji na Tathmini, Dk. Jerome Kamwela.
 Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao mpya.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao.
Mkurugenzi wa wa Habari na Uraghibishi, Jumanne Isango na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Tacaids, Yasin Abbas wakiwa kwenye mkutano huo. 
Taswira ya mkutano huo.

Post Top Ad