Elimu : Programu ya Shule Direct na Akaunti Chipukizi Yazinduliwa Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Wednesday, 28 September 2016

demo-image

Elimu : Programu ya Shule Direct na Akaunti Chipukizi Yazinduliwa Jijini Dar

DSC_0199
 Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyalandu akizungumza wakati wa kuzindua Shule Direct ambapo wanafunzi watatembelea mtandao wa www.shuledirect.co.tz kwaajili ya kujifunzia masomo mbalimbali ambapo wanafunzi watatembelea mtandao huo  kwaajili ya kujifunza masomo mbalimbali. 
DSC_0228
 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa Shule Direct kwa wanafunzu wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo, amewaasa wa wanafunzi kusoma kwa kutumia mtandao wa www.shule.co.tz kwaajili ya kujifunza zaidi masomo yao na si kutembelea mitandao mingine ambayo haihusiana na masomo yao.
Pia amewaasa kujiwekea akiba zao kupitia akaunti ya Chupukizi ya NMB kwa pesa kidogokidogo wanazopewa na wazazi wao ili ziwafaidisha baadae na si kutumia pesa hovyo.
DSC_0168
 Mkuu wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Gebo Lugano akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa Proramu ya Shule Direct katika shule hiyo  ambayo itawasaidia wanafunzi kujifunza kwa kutumia Mtandao wa www.shule Direct.co.tz ambapo wanafunzi watajisomea masomo yao kupitia mtandao huo.

Wakati huo huo imezinduliwa akaunti ya ya NMB chipukizi akaunti kwaajili ya wanafunzi pamoja watoto wenye umri wa kuanzia miaka 14 kwaajili ya kujiwekea akiba ikiwa mprogramu hiyo imeanzia katika shule ya shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0171
Maneja mwandamizi wa amana, huduma za ziada na bima wa Benki ya NMB, Stephen Adil akizungumza na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa benki ya NMB waliohudhulia katika uzinduzi wa programu ya Shule Direct jijini Dar es Salaam leo katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa.
DSC_0177
DSC_0181
DSC_0184
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa waliohudhulia katika kuzinduzi wa Shule Direct pamoja na NMB chipukizi akaunti ambapo baadhi ya wanafunzi wamefungua akaunti wakati huo huo.
 
DSC_0251
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu,  pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NMB pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa wakiangalia programu ya Shule Direct jinsi inavyofanya kazi.
DSC_0262

DSC_0265

DSC_0283
 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu na wafanyakazi wa NMB wapewa Maelekezo na Mtaalamu wa Kompyuta wa Programu ya Shule Direct, Erick Kondela wakati wa uzinduzi wa Programu ya Shule Direct katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini  Dar es Salaam leo. 
DSC_0284
Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa benki ya NMB na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde wakati walipotembelea Darasa la Shule Direct katika shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0293
 Mtaalamu wa Kompyuta wa Programu ya Shule Direct, Erick Kondela akiwasimamia baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0301
 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Antony Mavunde,  Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuzindua programu ya Shule Direct katika shule hiyo.
DSC_0328
 Baadhi ya wanafunzi wakipokea zawadi baada ya kujibu maswali vizuri.
DSC_0329
DSC_0331
Picha ya Pamoja  baada ya kupata zawadi.
DSC_0334
Baadhi ya wanafunzi wakifungua akaunti ya chupukizi ya NMB jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *