Matukio : Waziri Mkuu,Majaliwa azungumza na watumishi wa ofisi ya waziri Mkuu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 18 August 2016

Matukio : Waziri Mkuu,Majaliwa azungumza na watumishi wa ofisi ya waziri Mkuu


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi yake kuhusu utaratibu wa kuhamia Dodoma kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 17, 2016.
 Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kuhusu utaratibu wa kuhamia Dodoma kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2016
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Anthony Mavunde akizungumza katika Mkutano wa  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu  Agosti 17, 2016  kuhusu Utaratibu wa kuhamia Dodoma. 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi  zilizoko chini ya Ofisi yake baada ya kuzungumza na watumishi wa Ofisi yake kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana  Ajira na Walemavu, Jenista  Mhagama , Wapili kulia kwake ni Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira  na Vijana, Anthony Mavunde na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri  Mkuu baada ya kuzungumza nao  kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 17, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana  Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, Wapili kulia kwake ni Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira  na Vijana, Anthony Mavunde na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment