Bududani /Mitindo : Maurine Ayubu aibuka kinara wa shindano la Miss Kanda ya Kaskazini - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Aug 2016

Bududani /Mitindo : Maurine Ayubu aibuka kinara wa shindano la Miss Kanda ya Kaskazini


mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen na wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss TanzaniaMmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini , Woinde Shizza akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilowa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae alihudhuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskaziniwazee wa gwasuma wakiwa kazini


dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge akiwa anaongea na washabiki waliohudhuria ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha katika shindano la kumsaka mrembo wa kanda ya ziwa (miss kanda ya ziwa ) ambalo linatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa tisa mwaka huu(PICHA ZOTE NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA)Mwandaaji wa shindano hilo wa kwanza kulia akiwa ana show love na a shabiki wake Meneja wa mkoa wa Arusha kampuni ya Bima ya Britam naye alihudhuria katika show hiyo ya kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini
wasani wa muziki wa Hip Hop, wa pili kushoto ni Bou Nako akiwa na wasanii wengine walikuwepo katika  usiku huu wa kumsaka mrembo wa kanda yakaskazinimweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye alihudhuria katika show hiyo

hawa ndio majaji waliokuwepo siku hiyo

Muandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioingia walishinda siku hiyo

Rais wa Bendi ya FM Academia (wazee wa Gwasuma ) akiwa anaonyesha mambo yake ndani ya onyesho hilo

wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya GEO Security ambaye pia ni mthamini wa shindano hilo akifuatilia show ya Fm Academia

wakurugenzi wa hotel ya Clous View ambao nao ni wadhamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi

Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha

Post Top Ad