Mwakilishi Maalumu wa masuala ya maji kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa
Kenya Mwai Kibaki (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya
maandalizi ya Maonesho ya Wiki ya Maji Afrika (Sylivester Matemu) wakati wa
maonesho ya sita katika ya wiki ya maji Afrika yanayoendelea jijini Dar es
salaam. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Emmanuel Kalobelo.
KIKWETE: WATAFUTA KAZI NJE YA NCHI ZINGATIENI SHERIA NA TARATIBU
-
*Na. Mwandishi wetu - Saudi Arabia*
*Serikali imekemea watanzania wanao kwenda kufanya kazi nje ya nchi bila
kufuata utaratibu uliowekwa kwa mujibu w...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment